TCRA yakabidhi leseni kwa kampuni ya FreshWay Solutions!!

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Profesa John Mkomwa akifafanua jambo mbele ya wageni waalikwa kwenye hafla fupi ya kukabidhi vibali vya mawasiliano katika uga tofauti tofauti ikiwemo mtandao wa simu,mawimbi ya redio na Tv,pamoja na mawasiliano ya Internent,hafla hiyo imefanyika leo mchana ndani ya jengo la Mawasiliano lililopo barabara ya Sam Nujoma jijini Dar.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Profesa John Mkomwa akimkabidhi Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya mawasiliano ya FreshWay Solutions,Veronica Hiza cheti cha mawasiliano leo mchana akiwa ameambatana na Mkurugenzi mwenza David Hiza

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Profesa John Mkomwa akibadilishana akifafanua jambo mbele ya Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya mawasiliano ya FreshWay Solutions,Veronica Hiza akiwa na Mkurugenzi mwenza David Hiza mara baada ya kukabidhiwa cheti chao cha mawasiliano.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment