RAY C AZUNGUMZA NA LEO TENA YA CLOUDS RADIO!!


Leo katika kipindi cha Leo Tena kinachoendeshwa na mwanadafada Dina Marios kutoka Clouds FM alikuwa anazungumza na Ray C. Katika mazunguzo yao mwanadada Ray C aliulizwa kuhusu mpango wake wa kurudi kama zamani unakuwaje?Mwanadada akajibu anarudi na wasimshangae atakavyokuwa mwepesi kwani kwa sasa muonekano wake umeongezeka kimaumbile.Katika mazungumzo yake Ray C alisema anampango wakufungua FOUNDATION yake itakayohusiana na kuwajali watoto yatima na wale wagonjwa hospitalini ambao wanakosa matumaini na kudhani kama wao niwakufa tu. Ray C anasema mashabiki wake wapo kila pande ya dunia so anabudi yakuwajali na kuwapenda.Kuhusiana na album yake mpya amesema itatoka mwezi wa 5, hapa katikati atakuwa busy kidogo na tour yake.
habari hii ni kwa mujibu wa www.djchoka.blogspot.com

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment