Shirika la kimataifa la msalaba mwekundu, ICRC limesema mfanyakazi wake aliyetekwa nyara miezi mitano iliyopita katika jimbo la Darfur nchini Sudan ameachiliwa huru.
Mfanyakazi huyo Gauthier Lefevre, ambaye ana uraia wa nchi mbili Uingereza na Ufaransa alitekwa nyara karibu na mpaka wa Sudan na Chad Oktoba mwaka uliopita.
Shirika hilo limesema Lefevre alizuiliwa kwa muda mrefu zaidi , kuliko mateka yeyote katika eneo hilo tangu vitendo vya utekaji nyara kaunza katika eneo Darfur mwaka uliopita.

0 comments:
Post a Comment