Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Chistopher Chiza (suti nyeusi)akikagua mradi wa maji wa umwagiliaji huko kijijini Msoga Pwani wakati wa uzinduzi huo leo. (kushoto) Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Magesa Murongo.
Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Christopher Chiza akiweka jiwe la msingi wakati wa uzinduzi wa mradi wa umwagiliaji katika kijiji cha Msoga mkaoni Pwani leo
Naibu Waziriwa Maji na Umwagiliaji Christopher Chiza akiangalia vijidudu vya mbu kwanjia ya darubini leo katika kijiji cha Mwendapole Kibaha mkoani Pwani katika mabanda ya maonyesho ya kuadhimisha miaka ya 22 ya wiki ya maji kilele cha maadhimisho hayo ni machi 22, 2010. Picha na Mwanakombo Jumaa -Maeelezo

Naibu wa Maji na Umwagiliaji Christopher Chiza aliavaa suti akipokea maelezo kutoka kwa wafugaji wa Kimasai leo katika uwekaji wa jiwe la msingi la uzinduzi kijini Msoga mkoani Pwani leo.
0 comments:
Post a Comment