MSHINDI WA CHOMOKA NA VESPA ALAMBA ZAWADI YAKE!!

Mshindi wa droo ya kwanza ya Chomoka na Vespa inayochezeshwa nakampuni ya Zantel Bw.Mkombe Juma Hamisi akiifanyia majaribisho Vespa yake.Pembeni ni Afisa Masoko Zantel Zanzibar Bw. Ibrahim Attas.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment