Meneja Masoko wa Multchoice Tanzania Furaha Salamu akizungumza na waandishi wa habari kwenye Hoteli ya Paradise City jijini Dar es salaam leo wakati kampuni hiyo ilipozindua uuzaji wa Vinga'amuzi vipya vyenye ubora wa hali ya juu ambavyo ni M-Net HD, SuperSport HD, Discovery HD Showcase and iConcerts HD, Furaha amesema ving'amuzi hivyo vyenye uwezo wa kurekodi matukio au vipindi vinapatikana katika maduka mbalimbali ya mawakala wa kampuni hiyo kote nchini, wengine katika picha ni Barbara Kambogi katikati Meneja uhusiano na mwisho nia Ronald Shelukindo Meneja Huduma.
Meneja Huduma wa Kampuni ya Multchoice Ronald Shelukindo akiwaonyesha waandishi wa habari jinsi Ving'amuzi hivyo vinavyofanya kazi na ubora wake.
Meneja Huduma wa Kampuni ya Multchoice Ronald Shelukindo akiwaonyesha waandishi wa habari jinsi Ving'amuzi hivyo vinavyofanya kazi na ubora wake.
1 comments:
EBU ACHENI KUWABURUZA WANANCHI WA NYMBANI KWA KUWAPELEKEA VITU AMBAVYO VINALETA MATABAKA KATIKA NCHI ACNENI KABISA HAYO MAMBO TV WATU WENGINE HAWANA MNAWAPELEKEA HD KAMA SIO WAHINDI TU NDO MNAWAPELEKEA ACHENI HAYOO
Post a Comment