Mwanasiasa wa upinzani nchini Rwanda amehukumiwa kifungo cha miaka 17 jela . Mahakama nchini humo imempata Bwana Joseph Ntawangundi na hatia ya kushiriki mauaji ya kimbari yaliyotokea nchini humo 1994.
Awali alikana kuhusukika kwake katika mauji hayo, lakini akakiri mashtaka baadaye.
Bwana Ntawangundi --mshirika wa kiongozi wa upinzani, Victoire Ingabire amepatikana na hatia ya kuhusika na mauji ya raia 8 wa jamii ya kitutsi waliouawa katika shule aliyoiongoza, mashariki mwa Rwanda.

0 comments:
Post a Comment