Mkurugezi wa Utamaduni Wizara ya Habari na Utamaduni Hlmas Mwansoko akiongea katika semina ya Mawakala wa Miss Tanzania kwa mikoa yote ya Tanzania wakati wa ufunguzi wa semina hiyo iliyoanza leo kwenye Hoteli ya Girrafe Ocean View Mbezi Beach jijini Dar es salaam, katikati ni afisa mwandamizi wa Baraza la Sanaa nchini Rawlence Hinju na mwisho kushoto ni Miss Tanzania Miriam Gerald.
Mambo mengi yameongelewa ikiwemo mafanikio ya mashindano hayo pamoaja na Changamoto zinazokabili fani hiyo ya urembo na kamati yenyewe inayoandaa, ikiwa ni pamoja na mikakati ya mwaka huu ambapo kamati ya Miss Tanzania imejikita zaidi katika vyuo vikuu kwa kuanzisha kanda ya Chuo Kikuu cha Dar es salaam UDSM ikishirikiana na serikali ya wanafunzi ya chuo hicho DARUSO ili kuwapata warembo watakaokidhi upeo na viwango vya juu katika mashindano hayo kwa hapa nyumbani na mashindano ya dunia kwa jumla
Kutoka kulia ni Mgeni rasmi Helmas Mwansoko mkurugenzi wa utamaduni wizara ya Habari Utamaduni na Michezo, Mkurugenzi wa Miss Tanzania Hashim Lundenga, Ramesh Shah Mshauri Miss Tanzania na Elihuruma Ngowi meneja Huduma na bidhaa Vodacom Tanzania.
Kutoka kulia ni Mgeni rasmi Helmas Mwansoko mkurugenzi wa utamaduni wizara ya Habari Utamaduni na Michezo, Mkurugenzi wa Miss Tanzania Hashim Lundenga, Ramesh Shah Mshauri Miss Tanzania na Elihuruma Ngowi meneja Huduma na bidhaa Vodacom Tanzania.
Mgeni rasmi akipiga picha ya pamoja na washiriki wa semina hiyo
Washiriki mbalimbali wakiwa katika semina
1 comments:
To me she is a sister,friend,a person I can turn to when Im sad/happy and the best Gırl I have ever had...Asmah Makau luv u sıs.....All the best and ım mıssıng U....nakuona mama ushaanza kuchakarıka..make money money sis!
Post a Comment