Afisa Mtendaji Mkuu wa Dawasco Alex Kaaya akimuonyesha Dawa mbalimbali zinazotumika kusafisha maji kabla ya kusafiriswa na kumfikia mtumiaji wakati wa kilele cha wiki ya maji iliyomalizika leo katika kijiji cha Mwendapole Kibaha Mkoani Pwani kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Pwani Haajat Amina Said Mrisho
(Picha na Mwanakombo Jumaa wa Idara ya Habari Maelezo)
Hapa akitoka kukagua banda la Kiboko wakati alipotembelea banda hilo leo.
Mkazi huyu wa Kabaha jina lake halikufahamika mara moja ambaye ni mlemavu akiendesha baiskeli yake huku akiwa amempakia mtoto wake nyuma ya baiskeli hiyo wakati alipotembelea mabanda mbalimbali katika maadhimisho ya wiki ya maji yaliyofanyika leo katika kijiji cha Mwendapole Kibaha Mkoani Pwani

0 comments:
Post a Comment