Wadau hawa si mchezo kwa kukamua bia, na ukiwakuta wamekumbatia makreti utazani wao TBL au Serengeti Breweriers , je unaye mdau anayeweza kukamua kinywaji vilivyo hebu mchomoe huko aliko kwani buku buku tu unakamua, mlete Ukonga ajumuike na wenzake katika bonanza la Mashujaa Musica band
Mbuzi huyu ndo tayari nyama choma watu wameshajishindia na kupewa zawadi.
Mbuzi huyu ndo tayari nyama choma watu wameshajishindia na kupewa zawadi.
0 comments:
Post a Comment