Mkurugenzi wa Mahusiano wa Vodacom Tanzania Mwamvita Makamba na Mkurugenzi wa masoko Ephraim Mafuru wakiongea na wahariri wa Africa Media Group Limited katika ofisi zao kuhusu “habari ndiyo hii”ambapo mtandao wake ulivyoshusha gharama ya kuongea kwa shilingi 1 kwa sekunde siku nzima kwa wateja wa Vodacom.
Mkurugenzi wa Masoko wa Vodacom Tanzania Ephraim Mafuru(katikati)akiongea na waandishi wa habari wa maghazeti mama ya Daily News na Habarileo katika ofisi zao kuhusu “habari ndiyo hii”ambapo mtandao wake ulivyoshusha gharama ya kuongea kwa shilingi 1 kwa sekunde siku nzima kwa wateja wa Vodacom,kulia ni Mkurugenzi wa mahusiano wa Vodacom Mwamvita Makamba na kushoto ni Kaimu Mhariri wa maghazeti hayo Gabby Mgaya.
Mkurugenzi Mtendaji wa Sahara Communication Buza Era akielezea jambo kwa Mkurugenzi wa Masoko na Mahusiano wa Vodacom Tanzania. “habari ndiyo hii” ambapo mtandao wa Vodacom ulivyoshusha gharama ya kuongea kwa shilingi 1 kwa sekunde siku nzima kwa wateja wa Vodacom.
Hii ndiyo team nzima iliyofikisha”habari ndiyo hii”kwa vyombo vya habari ambapo mtandao wa Vodacom ulivyoshusha gharama ya kuongea kwa shilingi 1 kwa sekunde siku nzima kwa wateja wa Vodacom.
Mkurugenzi wa Masoko wa Vodacom Tanzania Ephraim Mafuru(kushoto) Mhariri wa TBC1 Jane Shirima wakizindua rasmi “habari ndiyo hii”kwa wateja wa mtandao wa Vodacom ambapo mtandao huo umeshusha gharama za maongezi kwa wateja wake kuongea kwa shilingi 1 kwa sekunde siku nzima kwa wateja wa Vodacom.
Mkurugenzi wa Mahusiano wa Vodacom Tanzania Mwamvita Makamba na Mkurugenzi wa masoko Ephraim Mafuru,Meneja Mawasiliano wa Vodacom wakiongea na wahariri wa TBC1 na TBC katika ofisi zao kuhusu “habari ndiyo hii”ambapo mtandao wake ulivyoshusha gharama ya kuongea kwa shilingi 1 kwa sekunde siku nzima kwa wateja wa Vodacom
Baadhi ya waandishi wa habari wa IPP Media wakiwa katika uzinduzi wa “HABARI NDIYO HII”
Mkurugenzi wa Mahusiano wa Vodacom Tanzania Mwamvita Makamba wapili kutoka kushoto akiongea na waandishi wa habari wa Business Times katika ofisi zao kuhusu “habari ndiyo hii”ambapo mtandao wake ulivyoshusha gharama ya kuongea kwa shilingi 1 kwa sekunde siku nzima kwa wateja wa Vodacom,kushoto ni Mhariri wa Darleo Imma Mbugunili, Mkurugenzi wa masoko Ephraim Mafuru,Meneja husiano wa Vodacom Mwamvita Makamba na kushoto ni Kaimmawasiliano wa Vodacom Nector Pendael Foya
0 comments:
Post a Comment