JENGO LAVUNJWA USIKU HUKU WAPANGAJI WAKIWA HAWAPO!!

Wafanyakazi wa kampuni ya Fosters Actioneers And Debt Collector wakivunja jengo lililokuwa likimilikiwa na kampuni ya El NasrExporteImport Co. ya Misri baada ya kampuni hiyo kuliuza kwa kampuni ya City Plaza, lakini wapangaji wa jengo hilo wakiendelea kung'ang'ania kwenye jengo hilo jambo lililofanya mwenye jengo kwenda mahakamani na kuwapa notisi waliyoipuuza mpaka walipoanza kuvunjiwa usiku wa kuamkia leo, jengo hilo liko kitalu namba 716/11 mtaa wa Jamhuri, katika zoezi hilo alikuwepo mwenyekiti wa mtaa wa Kisutu kata ya Kisutu Bw. Yusuph Mohamed na mgambo wa jiji ili kusimamia zoezi hilo.
Mgambo wa jiji akisimamia zoezi hilo leo

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment