Hapa nimevutiwa na maandishi kwani kweli wahenga walisema maskini haokoti na akiokota huambiwa kaiba. Hivyo ndivyo lilivyosomeka gari la mafuta huko kijijini Mwendapole Mkoa wa Pwani leo nami nikaona niwaleteeni wdau ujumbe huu.
Mjasiriamali Sophia Mohamed kutoka kijiji cha Mongomole Kwala Mkoani Pwani camera yetu imemnasa hivi karibuni akionyesha bidhaa aina ya nguo za kanga katika sehemu yake ya biashara kijijini hapo na kuelezea kuwa mtaji wake ameupata kutokana na fedha zijulikanazo kama MAMILIONI YA JK. . kwaajili ya kuwasaidia wananchi kujikwamua kimaisha.
Picha na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO.
0 comments:
Post a Comment