Mwenyekiti wa Benki ya Exim Tanzania Yogesh Manek (kushoto) akimkabidhi tuzo Meneja wa Tawi la Mount Meru, Bw. Hamad Abdallah Said, baada ya kuwa Meneja bora wa Tawi wa mwaka katika Mkutano wa wakuu wa matawi ya Benki ya Exim nchini uliofanyika Dar es Salaam jana. Anayeshuhudia katikati ni Meneja wa Benki hiyo Bw. Dinesh Arora.
Mwenyekiti wa Benki ya Exim Tanzania Yogesh Manek (kushoto) akimkabidhi tuzo Meneja fedha wa Benki hiyo Bi. Lydia Kokugonza, baada ya kuibuka mfanyakazi bora wa mwaka katika Mkutano wa wakuu wa matawi ya Benki ya Exim nchini uliofanyika Dar es Salaam jana. Anayeshuhudia katikati ni Meneja wa Benki hiyo Bw. Dinesh Arora.
0 comments:
Post a Comment