VODACOM WAKABIDHI MCHANGO WA MAAFA YA SAME NA KILOSA KWA WAZIRI MKUU!!

Waziri mkuu Mh. Mizengo Pinda akipokea mfano wa hundi ya shilingi milioni 50 kutoka kwa mkurugenzi mtendaji wa Vadacom Tanzania Dietlof Male zilizopatikana kutokana na kampeni ya Vodafone Red Arlet iliyoendesha na kampuni ya Vodacom kwa kushirikiana na Redio Clouds kwa ajili ya maafa yaliyotokea Kilosa na Same, hafla ya makabidhiano hayo ilifanyika nyumbani kwa Waziri Mkuu mwishoni mwa wiki katika picha kulia ni wakurugenzi wa Clouds Radio Ruge Mutahaba na Joseph Kusaga na kushoto ni Mkuu wa kitengo cha Vodacom Foundation Mwamvita Makamba.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment