SEMINA YA NDOA YAFANYIKA MSIMBAZI CENTER!

Washiriki wa semina ya mafunzo ya siku mbili kwa Masheikh na Mapadri kuhusu Usajili wa Ndoa na Talaka ulioanza leo katika ukumbi wa Msimbazi Center jijini Dar leo chini ya Wakala wa Usajili,Ufilisi na Udhamini-RITA.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment