Mbali ya majukumu mengi ya Kazini na ya Kitaifa pia familia ni kiungo bora kwa maisha ya binadamu yeyote aliyekamilika na pamoja na majukumu mengi na mazito kwa binadamu lakini jukumu lingine muhimu ni kujenga familia iliyo bora na yenye mshikamano kuanzia kwa baba, mama na watoto, kama unavyomuona dada Teddy na Mumewe Mr. Mapunda wakiwa na watoto wao wazuri Nigel Mapunda na Altevin Mapunda ni familia inayopendeza na ya mfano hongereni wadau timu ya FULLSHANGWE inawafagilia.
MISINGI BORA YA FAMILIA NDIYO MAFANIKIO YA MAISHA KWA UJUMLA!!
Posted by
ADMIN
You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment