Rais Kikwete ashiriki mazishi ya Mnikulu Rajabu Kianda huko Kihurio Same!!

Rais Jakaya Mrisho Kikwete(watatu kushoto) akiwa na waumini wengine wakiuombea mwili wa marehemu RaJABU Kianda aliyekuwa mnikulu muda mfupi kabla ya mazishi yake huko Kihurio Same Mkoa wa Kilimanjaro jana mchana. (picha na Freddy Maro)

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment