Mbunge wa Karatu (Chadema) Wilbroad Slaa akikumbushia enzi zake na Askofu JAcob Mameo!!

Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania(KKKT) Dayosisi ya Morogoro Jacob Mameo Ole Paulo (kulia) akimsikiliza kwa makini Mbunge wa jimbo la Karatu Dkt Wilbord Slaa (kushoto) jana katika Viwanja vya Bunge mjini Dodoma.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment