MATUKIO BUNGENI DODOMA LEO ASUBUHI!!

Naibu Waziri wa Mawasiliano , Sayansi na Teknolojia Dkt Maua Daftari(kushoto) akitetea jambo na Waziri Mkuu Mstaafu ambaye ni Mbunge wa Mtera John Samwel Malecela jana nje ya Ukumbi wa Bunge mara baada ya kipindi cha maswali na majibu kumalizika leo asubuhi.
Waziri wa Mifugo na Uvuvi Dkt John Magufuli (kushoto) akibadilishana mawazo na Mbunge wa Bukoba Vijijini Nazir Karamagi(kulia) jana mjini Dodoma wakati wanaelekea Bungeni kwa ajili ya kuhudhuria Kikao cha 11 cha mkutano wa 18 unaoendelea mjini hapa.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment