MAHUBIRI YAGEUKA ZOGO BAADA YA KUSHINDWA KUVUMIRIA!!

Mpita njia huyu aliyeko kulia katika picha akifokeana na mhubiri mmoja anayewahubiria wapita njia maeneo ya posta na kuwaambia kwamba pombe siyo dhambi, kuoa wanawake wengi siyo dhambi kunywa pombe na kula Nguruwe siyo dhambi na anasisitiza pia kwamba dawa ya ukimwi ni kuzini bila kutumia kundom kitu ambacho watu wengi wanaosikiliza mahubiri yake wamekuwa wakimpinga na kukerwa na mahubiri yake hayo kama unavyomuona huyu mzee ambaye hakuridhika na mahubiri hayo akaamua kumpandishia, Mdau ukistaajabu ya Mussa utaona ya Firauni.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

1 comments:

  1. tumia L LLLLLLLLL na sio kura hapa mara maralia kuvumiria eboo hadi unakera

Post a Comment