Huku idadi kubwa ya kura za uchaguzi wa Urais nchini Ukraine zikiwa zimehesabiwa,kiongozi mwenye uhusiano wa Karibu na urusi Viktor Yanukovych amejipatia ushindi wa aslimia tatu mbele ya mpinzani wake waziri mkuu Yulia Tymoshenko.
Katika mkutano na waandishi wa habari Bw Yanukovych ameshukuru waliohusika katika kampeni yake na kuahidi kutekeleza mabadiliko nchini Ukraine.
Kwa upande wake Bi Tymoshenko amesema ni mapema sana kwa Bw Yanukovych kujitangazia ushindi.Awali mkrugenzi wa kampeni za Bi Tymoshenko alidai kuwa kulikuwa na wizi wa kura.
Mwandishi wa BBC mjini Kiev anasema huenda Bi Tymoshenko akapinga matokeo ya uchaguzi huo wapo atashindwa kwa asilimia ndogo.

0 comments:
Post a Comment