Peter Obi alichaguliwa tena lakini ni watu 300,000 pekee walopiga kura kati ya watu milioni 1.8 waliosajiliwa kama wapiga kura. Katika kituo kimoja kundi la vijana lilivamia na kukimbia na sanduku moja la kura. Ghasia hizi zimerudisha nyuma juhudi za kuimarisha mfumo wa upigaji kura huku Nigeria ikijiandaa kwa uchaguzi wa kitaifa mwaka 2011. Rais Umaru Yar'Adua aliahidi kumaliza mfumo mbaya wa uchaguzi nchini Nigeria wakati alipochaguliwa mwaka 2007 katika uchaguzi ambao pia ulikosolewa vikali.
Uchaguzi wa jimbo la Anambra 'si haki'
Posted by
ADMIN
Uchaguzi wa gavana wa jimbo la Anambra,Nigeria umekosolewa huku kukiwa na madai ya rushwa,uwizi wa masanduku ya kura na makosa katika daftari la wapiga kura.
You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment