WATOTO WASHEREHEKEA SIKU YA FAMILIA NA MULTCHOICE LEO!!

Mhariri wa michezo wa gazeti la Jambo Leo Willy Edward akiwa katika picha ya pamoja na watoto wake Cole kulia Caleb kushoto na Cathy katikati wakati wa siku ya Familia iliyofanyika leo kwenye makao makuu ya kampuni ya Multchoice jijini Dar es salaam watoto mbalimbali wa wafanyakazi pamoja na wateja wa kampuni hiyo walijumuika kwa pamoja ili kusherehekea siku hiyo maalum kwa watoto.
Watoto wakijirusha kwenye katika.
Hapa watoto mbalimbali wakipakwa rangi wakipakwa rangi tayari kwa michezo iliyokuwa ikiendelea katika siku hiyo ya Familia.

Watoto wakicheza michezo mbalimbali wakati wa siku ya familia za wafanyakazi na wateja wa Multchoice iliyofanyika leo jijini Dar kwenye ofisi za kampuni hiyo.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment