Waimbaji wa bendi ya Msondo music wakiwajibika wakati wa onesho lao la utambulisho wa albamu yao ya Huna shukrani, lililofanyika katika ukumbi wa Amana jijini Dar es salaam jana kushoto ni Isihaka Katima Papa Upanga na Juma Katundu .(Picha na Rajabu Mhamila)
Muimbaji wa bendi ya Africani stars Twanga pepeta Saulo John 'Alex Fagason' akiwajibika wakati wa kuisindikiza bendi ya msondo kutambulisha albamu yakle ya huna shukrani.
Mnenguaji wa bendi ya msondo ngoma music band, Amina Said 'Queen Emmy' akiwajibika wakati wa onesho la kutambulisha albam ya bendi hiyo, Dar es salaam jana

0 comments:
Post a Comment