Uingereza imewapiga marufuku zaidi ya wakenya 20 ikiwa nipamoja na maafisa wa ngazi za juu kuitembelea kutokana na madai ya ufisadi .
Balozi wa Uingereza mjini Nairobi amesema kwamba marufuku hiyo imechukuliwa kama hatua ya mwisho kuhakikisha kuwa watu binafsi wanaohusishwa na ufisadi wanafanyiwa uchunguzi na kushtakiwa nchini Kenya.
Hatahivyo amesema kuwa hakuna afisa wa ngazi za juu serikali aliyeshtakiwa kikamilifu katika mahakama ya Kenya, amesema serikali ya Kenya imekuwa ikipuuza maombi ya wachuunguzi wanaotaka maelezo zaidi kuhusu washukiwa by

0 comments:
Post a Comment