Sophia Kessy
Mtangazaji wa redio cloud FM ya jijini Dar Sophia Kessy aka Malikia wa Bambataa,amewastua wanamziki wa Tanazania ambao mali yao inaliwa bila wenyewe kujijua,Malikia Sophia Kessy katika blog yake ya bambataa ameandika makala ambayo kila mwanamziki au mashabiki na wakeretwa kama wakiisoma na kuichanbua sana makala hiyo wataifanyia kazi kwani si ya kuitupia kisogo,bali kuitilia maanani,hususan kwa kile alichokitilia mkazo "Je?Vipi kuhusu haki miliki za CDs!"
wengi tulioichambua makala hiyo na umuhimu wake ,tunaweza kusema ni sawa na kumwagia maji ya baridi wanamuziki walio lala usingizi wakati mali yao inaibiwa, katika makala yake hiyo alikuwa anazungumuzia CD ya moja ya bendi kongwe hapa nchini "Mlimani Park Orchestra" wana Sikinde Ngoma Ukae ambayo imekuwa ikipatikana sehemu mbhapa nchini na nje ya nchi bila wenyewe kujua hata kinachoendelea juu ya haki yao kama wamiliki halali wa Cd albam hiyo.

0 comments:
Post a Comment