Mwambata Jeshi wa ubalozi wa Zambia nchini ambae pia ni kiongozi wa waambata Jeshi nchini Brigedia Jenerali Bedford Chabuka (kushoto) akiongea na Kamanda wa kikosi cha Maji Kigamboni Meja Jenerali Said Omar (kulia) kabla ya makabidhiano ya genereta kwa ajili ya shule ya Sekondari ya Navy Kigamboni jijini leo.Jenereta hiyo imetolewa na umoja wa waambata jeshi nchini katika kusaidia huduma za kijamii. Picha zote na Mwanakombo Jumaa-Maelezo.
Mwambata wa Jeshi wa Zambia nchini Tanzania (kulia) Brigedia Jenerali Bedford Chabuka akikabidhdi jenera kwa niaba ya Wambata Jeshi nchini kwa Kamanda wa Kikosi cha Maji Kigamboni Meja Jenerali Said Omar jijini leo kwaajili ya matumizi ya shule ya Sekondari ya Navy Kigamboni.
Wambata jeshi nchini .na wanafunzi wa sekondari ya Navy Kigamboni baada ya makabidhiano ya genereta (4kv,diseal engine)jijini leo.
Mwambata Jeshi nchini Tanzaniakutoka Urusi Luteni Kanali Prokhor Gromov ( kulia) akimpongeza Kamanda wa Kikosi cha Maji Kigamboni Meja Jenerali Said Omar(kulia)baada ya kumkabidhi genereta na kadi ya kuwapongeza na kuwatakia heri ya mwaka mpya wanafunzi wa shule ya sekondari ya Navy Kigamboni vilivyotolewa na umoja wa waambata jeshi nchini. (MAAT-Millitary Attaches Association in Tanzania.)

0 comments:
Post a Comment