Str8Muzik Festival;Intercollege Special 2009 funika yafunika Dodoma.

Mwanamuziki ajulikanaye kwa jina la kisanii Amani kutoka nchin kenya akiwarusha vilivyo wapenzi wa tamasha la Str8Muzik Festival;Intercollege Special 2009 ndani ya viunga vya hoteli ya Royal Village mjini Dodoma usiku wa kuamkia leo,tamasha hilo ambalo lilikuwa maalum kwa ajili ya wanafunzi wa vyuo mbalimbali lililandaliwa na kampuni a sigara TCC kupitia chapa yake ya muziki iitwayo Str8 Muzik.
Joe Makini a.k.a Mwamba wa Kaskazini akionesha umahiri wake wa kuimba free staili mbele ya umati wa watu uliofika kwenye tamasha la Str8Muzik Festival;Intercollege Special 2009 ndani ya viunga vya hoteli ya Royal Village mjini Dodoma usiku wa kuamkia leo.

Umati wa watu uliofurika kwenye tamasha la Str8Muzik Festival;Intercollege Special 2009 ndani ya viunga vya hoteli ya Royal Village mjini Dodoma usiku wa kuamkia leo,


You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment