SIKU YA UHAMASISHAJI WAFANYAKAZI MAJUMBANI YAFANYIKA LEO!

Mratibu wa Kutetea na Kulinda Haki za Wafanyakazi Kanda ya Afrika chini ya Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Vicky Kanyoka(kulia) akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari leo jijini Dar salaam juu ya siku ya uhamasishaji wa wafanyakazi nyumbani inayofanyika leo. Katikati ni Mwenyekiti wa Kamati ya wafanyakazi wa Nyumbani Dar es salaam Anna Mapunda na kushoto ni
Katibu wa Chama cha Wafanyakazi wa Hifadhi Mahotelini ,majumbani na Huduma za jamii na Ushauri(CHODAWU) Mkoa wa Kindondoni Kuruthum Masoud.
Picha na Tiganya Vincent -MAELEZO

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment