Msanii Nguli wa Muziki wa kizazi kipya nchini Ambwene Yesaya AY (kulia) akitoa
kionjo cha nyimbo leo jijini alipokutana na waandishi wa habari kuzungumzia tamasha la kuibua vipaji linalojulikana kwa jina la Explosive ambalo litakalofanyika jumamosi Desemba 12 kwenye ufukwe wa Jangwani Sea Breeze Resort jinini Dar es salaam.

Onyesho hilo linatarajiwa kushirikisha wasanii wengi wenye majina kama vile Shaa, Ali Kiba, Machozi, Mr Blue, Chid Benz na Ambwene Yesaya AY mwenyewe huku kukiwa na michezo mbalimbali ya ufukweni na Ma Djs wakali kiingilio kikiwa 10.000
Mwengine aliyeko kushoto katika picha ni ni Afisa uhusiano wa kampuni INOCH itakayoandaa tamasha hilo Jamila Suleiman .
Picha na Mwanakombo Jumaa wa Maelezo.
0 comments:
Post a Comment