KIFAA CHA SIMBA JERRY SANTOS HUYU HAPA!!

Mchezaji mpya wa Timu ya Simba aliyesajiriwa katika usajiri wa Dirisha dogo la usajiri kutoka nchini Kenya Jerry Santos akiwa katika bandari ya Dar es salaam mara baada ya kuwasili na wachezaji wenzake wa timu ya Simba kwa boti ya Kilimanjaro timu hiyo ilikuwa kisiwani Zanzibar kwa mazoezi kwa ajili ya mashindano ya kombe la Tusker yanayoanza leo jijini Dar es salaam kwa kukutanisha timu za Mtibwa Sugar na Sofapaka ya Kenya
Wachezaji wa timu ya simba wakiingia kwenye Teksi mara baada ya kuwasili kwenye bandari ya Dar es salaam wakitokea Zanzibar walikokuwa wameweka kambi kwa ajili ya kujiandaa na mashindano ya kombe la Tusker.


You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment