JB MPIANA ALIPOWASILI USIKU WA KUAMKIA LEO!!

Mwanamuziki Mahiri wa Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo aiishie na kufanya kzi zake nchini Ufaransa JB Mpiana akiwa ameambatana na wadhamini wake mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere Dar es Salaama mnamo majira ya saa 23:54 usiku wa kuamkia leo. Kulia kwake ni Meneja Msaidizi wa Sigara Embassy, Elizabeth Kirimbai Ndosi na kushoto kwake ni Mwamama Yasmin aliyeambatana naye pamoja afisa masoko wa Embasy Joackim Kyula.



You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment