RAIS JAKAYA ATIA SAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO YA MAREHEMU GAMA!!

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini kitabu cha Maombolezo Nyumbani kwa Marehemu Gama Mbezi beach jijini Dar es Salaam, aliyewahi kushika nyadhifa mbalimbali ikiwemo Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa na Katibu Mkuu wa CCM.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment