Wakati jana mkutano wa mazingira huko Denmark ulipata kwikwi kwa muda baada ya nchi za Dunia ya tatu zikiongozwa na Africa kugomea kutoa ushirikiano, leo viongozi mbalimbali wameanza kuwasili kwaajili ya mkutano wa viongozi wa dunia kuhusu mabadiliko ya tabia nchi ambao utafanyika kesho.
Tanzania inawakiliswa na Makamu wa Rais Dr Ali Mohamed Shein ambaye ndo anawasili muda huu.
Tanzania inawakiliswa na Makamu wa Rais Dr Ali Mohamed Shein ambaye ndo anawasili muda huu.
0 comments:
Post a Comment