DR. SAYOKI MFINANGA AKISALIMIANA NA RAIS JAKAYA!

Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Dr Sayoki G. Mfinanga mkurugenzi wa Muhimbili Madical Reseach Center wakati alipofungua jengo jipya la National Institute for Medical Research (NIMR) hivi karibuni lililopo Ocean Road, kulia ni Prof. David Mwakyusa Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment