Meneja Matukio na Promosheni wa Vodacom Tanzania Rukia Mtingwa(katika) akiwasiliana na mshindi wa Tuzo droo ya M pesa ya mwezi,kati ya wateja 20 wamejinyakulia shilingi laki tano kila mmoja,kulia Meneja Mawasiliano wa Vodacom Nector Foya na kushoto ni msimamizi wa bodi ya kubahatisha Tanzania Mrisho Millau.
WASHINDI WA TUZO YA M-PESA WAPATIKANA!!
Posted by
ADMIN
You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment