DIANA IBRAHIM AIBUKA KISURA WA TANZANIA 2009!!

Huyu ndiyo Diana Ibrahim Kisura wa Tanzania 2009 aliyeshinda katika shindano la Kisura lililofanyika usiku wa kuamkia leo kwene Hoteli ya Movenpick jijini Dar es salaam

Mama Tunu Pinda katikati aliyeshika maua akiwa katika picha ya pamoja na Kisura wa Tanzania 2009 Diana Ibrahim wa tatu kutoka kulia mara baada ya kushinda kwenye shindano hilo lililofanyika jana kwenye Hoteli ya Movenpick jijini Dar es salaam, wengine ni Jaji mark Bomani mwenyekiti wa kampuni ya bia Serengeti wa kwanza kushoto na anayefuata ni mama Janneth Massaburi Mbunge Viti Maalum Mkoa Dsm, kulia ni Juddy mwandaaji wa Kisura na Teddy Mapunda mwenye kilemba Meneja uhusiano wa kampuni ya bia Serengeti

Mgeni Rasmi mama Tunu Pinda akisoma hotuba yake katika shindano la Kisura wa Tanzania lililofanyika kwenye Hoteli ya Movenpick usiku wa kuamkia leo jijini Dar es salaam, kushoto ni Mwenyekiti wa Kampuni ya bia ya Serengeti Jaji Marck Bomani.

Kisura wa Tanzania 2009 Diana Ibrahim katikati akiwa na washindi wenzanke Jaquiline Benson aliyeshika nafasi ya pili na Mwajabu Juma kushoto aliyeshika nafasi ya tatu mara baada ya kwatangaza washindi katika shindano hilo lililofanyika kwenye Hoteli ya Movenpick usiku wa kuamkia leo.

Hawa ndiyo walioingia tano bora ya kisura wa Tanzania hapa wakipozi kwa picha.

Mavazi haya alibuni mbunifu Zamda George hayupo pichani, kila mrembo alivaa nguo iliyobuniwa kwa staili tofauti.

Visura wakipita jukwaani katika mavazi ya ubunifu kama unavyowaona katika picha.

Baby Madaha akionyesha umahiri wake katika kumiliki jukwaa kwenye shindano la Kisura wa Tanzania usiku wa kuamkia leo.

Wazee wa Goba Kalunde Band iliburudisha vyakutosha katika shindano hilo.

Mambo ya kikundi cha ngoma na sarakasi cha Splendid.

Hebu cheki pozi la Emma Mbaga kushoto na Grace Kilembe meneja mradi wa Kisura Tanzania.

Mkurugenzi wa masoko wa kampuni ya simu za mkononi Zain Kevin Twisa kushoto na rafiki yake Amos Lwiza.

Mdau Bazo Komu wa TBC kushoto na Mtu mzima Wakuvanga wa Orijino Komedi.

Wadau wa Kisura wa Tanzania kutoka kulia ni Khadija Khalili Tazania Daima, Ally Rehmtullah mbunifu wa mavazi , Teddy Mapunda na Nandi Mwiyombela kutoka Serengeti.

Giva kushoto na Jamira visura wa mwaka jana 2008 nao walikuwepo.

Wadau Grace Kilembe kulia na rafiki yake nyuma kushoto ni mdau Willy Edward wa gazeti la Jambo leo na rafiki yake.

Mkurugenzi wa masoko wa Serengeti Sushan Roy kulia akizungumza na meneja Matukio na promosheni wa kampuni hiyo Bahati Singh.

Emmy Melau kisura wa mwaka jana akiwa na marafiki zake wakati wa shindano la Kisura wa Tanzania jana kwenye Hoteli ya Movenpick.

Kutoka kushoto ni Khalfan Masaza wa Movenpick, Niko Mosha wa Serengeti, Geofrey Meena wa TTB, Swai Aita mtaala wa Ushauri masuala ya Biashara na James Nicolas Mukrugenzi wa Kiromo View Resort walikuwepo kushuhudia shindano la Kisura.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment