Lori lenye namba za Usajiri T 582 ADH lililokuwa limebeba shehena ya vyuma chakavu likiwa limeangukia Nyumba asubuhi hii katika barabara ya Kabuma Mtoni kwa Azizi Ally Wilayani Temeke mara baada ya kumshinda Dereva wa gari hilo na kupinduka, wakati lilipokuwa likikwepa gari dogo lililokuwa limeegeshwa kandokando ya barabara hiyo hakuna mtu aliyepoteza maisha katika ajali hiyo, hata hivyo dereva amepata maumivu kidogo kwenye goti la mguu wake wa kulia.
AJALI, LORI LIKIWA LIMEANGUKIA NYUMBA!!
Posted by
ADMIN
You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
1 comments:
NI LORI AU ROLI
Post a Comment