MAFUNZO YATOVUTI KWA MAKATIBU WAKUU YAFANYIKA LEO!!.

Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Bw. Clement Mshana akifafanua jambo kuhusu matumizi ya Tovuti ya Wananchi katika kujibu hoja za wananchi wakati wa mafunzo ya tovuti kwenye kikao kazi cha makatibu wakuu wa wizara leo jijini Dar es salaam.
Picha na Aron Msigwa – MAELEZO.
Baadhi ya makatibu wakuu wa wizara mbalimbali wakifuatilia kwa makini maelezo juu ya Tovuti ya Wananchi katika kujibu hoja mbalimbali za wananchi zinazowasilishwa serikalini wakati wa mafunzo ya tovuti kwenye kikao kazi cha makatibu wakuu wa wizara leo jijini Dar es salaam.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment