Rais Kikwete alipokutana na Mratibu wa Umoja wa Mataifa nchini

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagana na Mratibu wa Umoja wa Mataifa nchini Bwana Alberic Kacou muda mfupi baada ya kufanya naye mazungumzo ikulu jijini Dar es Salaam jana asubuhi.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment