MATUKIO BUNGENI LEO!!

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa Maliasili na Utalii, Shamsa Mwangunga kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma leo, Novemba 4, 2009.
Kiongozi wa Upinzani Bungeni na Mbunge wa Wawi, Hamad Rashid Mohamed (kushoto) akizungumza na Mbunge wa Donge Ali Ameir Mohamed kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma leo (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)




You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment