VODACOM FOUNDATION WAFUNGUA MRADI WA YATIMA CHAMAZI!!

Wakurugenzi wa Vodacom Tanzania na Vodafone wakielekea kwenye ufunguzi wa maradi wa mifugo wenye thamani ya shilingi milioni 12 kwa ajili ya kusaidia huduma za watoto yatima wa kituo cha Yatima Trust Fund kilichopo Chamazi Wilayani Temeke Jijini Da es salaam.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment