Moja ya vikundi vinavyoshiriki kwenye shindano la Malta Guinness Dance Street linalofanyika kesho kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee kikionyesha umahili wao katika kucheza muziki na sarakasi kwa pamoja leo katika makao makuu ya Redio Clouds Mikocheni aka Mjengoni kama wanavyoita wenyewe kwa pembeni ni wasanii wengine wakiangalia, jumla ya vikundi 1o vitapanda jukwaani kwa mpambano huo utakaotoa bingwa ambaye atawakilisha Tanzania katika shindano hilo kwa Afrika Mashariki, Afrika na Dunia.
WASHIRIKI WA MALTA GUINESS STREET DANCE WAKIONYESHA VITU VYAO!!
Posted by
ADMIN
You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment