VODACOM YAKABIDHI WODI YA WAZAZI HOSPITALI YA LUDEWA!!

Mbunge wa viti maalum Mkoa wa Iringa Pindi Chana (katikati) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa jengo la wodi ya wazazi la hospitali ya
Wilaya ya Ludewa,lililojengwa na Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania wodi hiyo imegharimu kiasi cha shilingi Milioni 42.(kushoto) ni Mbunge
wa Ludewe Profesa Raphael Mwalyosi (Kulia) Mkuu wa Vodacom Foundation Mwamvita Makamba wakishuhudia uzinduzi huo.

Kikundi cha ngoma cha umoja cha Wilaya ya Ludewa kinachoundwa na wajawazito wanaosubiri kujifungua wakicheza ngoma ya lindima baada ya kukabidhiwa msaada wa jengo la wazazi na Mfuko wa kusaidia jamii wa kampuni ya Simu ya Vodacom,Vodacom Foundation.


You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment