Naibu waziri wa Wizara ya Habari, Utamaduni na Michezo Joel Bendera (kushoto) akiongea na uongozi wa klabu ya Simba leo katika ukumbi wa mikutano uliopo makao makuu ya Klabu hiyo jijini Dar es Salaam kuhusu juhudi za serikali za kuunga mkono vilabu vya soka hapa nchini. Kulia ni Mwenyekiti wa Klabu hiyo Hassan Dalali. Bendera anafanya ziara ya kikazi ya siku moja katika vilabu vya Simba na Yanga vyote vya jijini Dar es Salaam.
Picha na Anna Nkinda - Maelezo
Picha na Anna Nkinda - Maelezo
0 comments:
Post a Comment