Makamu wa Rais Dk. Ally Muhamed Shein akihojiwa na wanahabari nchini Zimbabwe!!


Makamu wa Rais Dk Ali Mohamed Shein akihojiwa na Waandishi wa Televisheni ya Shirika la Utangazaji la Zimbabwe kuhusiana na kifo cha Makamu wa Rais wa Zimbabwe Joseph Wilfred Msika ambapo mazishi yake yalifanyika mwanzoni mwa wiki jijini Harare.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment