Mkataba wa huduma kwa wateja wazinduliwa wizara ya Nishati na Madini

Waziri wa Nishati na Madini William Ngelleja (wa tatu kushoto) akizindua mkataba wa huduma kwa wateja kwa mwaka 2009 – 2012 wa wizara hiyo katika ukumbi wa mikutano wa Kivukoni uliopo katika Hoteli ya Moven Pick jijini Dar es Salaam huku wafanyakazi wa Wizara husika wakishuhudia. Kulia kwa waziri ni katibu Mkuu wa wizara hiyo Athur Mwakapugi akifuatiwa na Msemaji wa wizara Aloyce Tesha.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment