HIVI NDIYO VITUKO NA VIMBWANGA VYA REDDS MISS ILALA 2009!!

Eh hatimaye huyu Mrembo aliyevalia na mba 4 akadondoka jukwaani na kuzirai, haikufahamika mara moja ni nini kilimsibu kwakati akiwa jukwaani na wenzake wakati walipopita jukwaani katika vazi la Jioni sijui aliahidiwa kushinda au ilikuwaje jibu analo mwenyewe mdau hebu tumuache.

Jamani Hawa wadau hawajalazimishwa kuchuchumaa hapana ila wanajaribu kutengeneza mazingira mazuri ya kupata picha kwa ajili ya kuipasha jamii kila kilichojiri wakati wa shindano la Redds Miss Ilala hivi karibuni.
Mdau Kutoka GRM Investiment Limite Bw. Gabriel Makupa akidungua picha kwa mbali na mtambo wake Canon wakati shindano la Redds Miss Ilala lilipokuwa likiendelea lililofanyika ijumaa iliypoita kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment