Wakazi wa Mtoni sabasaba Wilayani Temeke wakimshangaa mzee huyu aliyejitambulisha kwa jina la (Juakali) asubuhi ya kuamkia leo ambaye inadaiwa alianguka katika eneo hilo kwa imani za kishirikina akitokea Mkoani Morogoro, mzee huyo alipoulizwa ilikuwaje alidai kwamba ametoka Morogoro na alidondoka katika eneo hilo kutokana na kubeba mizigo mingi haya mambo hayo mdau.
ETI HUYU KADONDOKA KWA IMANI ZA KISHIRIKINA!!
Posted by
ADMIN
You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
1 comments:
Fala kweli huyu mzee watu kama hawa dawa yao ni kupewa mkongoto tu acharazwe fimbo vizuri, sasa akisema hivyo ina maana gani watu ndio wamuonee huruma?
Post a Comment